
KAZI YA KWANZA KIMATAIFA HAIKAMILISHI HESABU BADO
MATOKEO ya mchezo wa kwanza hayana maana kwamba safari imegota mwisho kwa kila timu bali ni mwendelezo kwenye mchezo unaofuata. Hakika kwenye mechi za kimataifa wawakilishi wana kazi kubwa kusaka ushindi ili kupata matokeo mazuri ambayo yatawapa furaha mashabiki na Tanzania kiujumla. Kwa wakati huu kwenye hatua ya robo fainali ni mechi mbilimbili zinachezwa kwa…