
YANGA KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO
USIOGOPE kukabiliana na magumu kwa kuwa yanakukomaza uwe imara zaidi hivyo itakuwa hivyo kwa wawakilishi wa Tanzania Yanga kwenye anga la kimataifa. Ushindi wa mchezo wa kwanza haina maana kwamba kazi imegota mwisho bado kuna safari nyingine kukamilisha mwendo wa kuifuata fainali. Nyumbani ilikuwa furaha kwa kuwa kila mmoja aliona namna wachezaji walivyocheza kwa kujituma…