
YANGA SC YAMFUATA MRITHI WA MAYELE, SAIDO MTEGO KWA YANGA
YANGA SC yamfuata mrithi wa Mayele, Saido amueweka mtego kwa Mayele wa Yanga
YANGA SC yamfuata mrithi wa Mayele, Saido amueweka mtego kwa Mayele wa Yanga
HILI hapa kombe jipya la NBC Premier League ambalo watakabidhiwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Yanga. Leo Juni 7,2023 limezinduliwa kombe hilo mbele ya Waandishi wa Habari makao makuu ya benki hiyo, Posta. Yanga imetwaa taji hilo mara ya pili mfululizo ikiwa ni msimu wa 2021/22 na msimu huu pia wa 2022/23 lipo mikononi mwa…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City walipigwa gwaride la heshima. Gwaride hilo Yanga walipigiwa kabla ya mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Dakika 90 zilikamilikwa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na kugawana pointi…
WAKATI vita ya ubingwa ikiwa imefungwa kwa Yanga kufanikisha lengo la kutwaa ubingwa suala la kiatu cha ufungaji bora kwa sasa kina sura mpya. Ni Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga huyu anaongoza kwenye orodha akiwa ametupia mabao 16 na pasi tatu za mabao. Anayemfuatia ni Saido Ntibanzokiza wa Simba mwenye mabao 15 kibindoni na pasi…
MZEE wa kutetema Fiston Mayele wa Yanga mguu, ‘guu’ lake la kulia lina balaa kitaifa na kimataifa kwenye kutupia mabao kutokana na kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo wa Yanga ana tuzo ya mfungaji bora kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika akiwa ametupia jumla ya mabao 7 na kuvaa medali ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Championi Jumatano
KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Azam Complex. Mzawa Israel Mwenda amepachika bao moja kwenye mchezo wa leo dakika ya 65 akitumia majalo ya Shomari Kapombe. Mabao matano kwa Simba yamefungwa na Saido Ntibanzokiza dakika ya 15,20, 26, 78 na…
IDRIS Mbombo nyota wa Azam FC amefikisha bao lake la 8 Uwanja wa Mkwakwani wakisepa na pointi tatu dhidi ya Coastal Union. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo ubao umesoma Coastal Union 0-2 Azam FC. Mbombo alitupia kambani bao la kuongoza dakika ya 58 ambalo liliwaongezea nguvu Azam FC. Kwenye mchezo huo dakika…
UBAO wa Uwanja wa Azam Complex unasoma Simba 3-0 Polisi Tanzania. Ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kukamilisha msimu wa 2022/23. Ni mabao ya Saido Ntibanzokiza ambaye amefunga hatrick ndani ya dakika 10 za mchezo huo. Nyota Jean Baleke amekwama kusepa na dakika 90 baada ya kupata maumivu dakika ya 15 nafasi yake…
MBEYA City wamekubali kugawana pointi mojamoja na Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Sokoine. Ni Mbeya City walitangulia kufunga mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa George Sangija dakika ya pili na lile la pili likifungwa na Richardson Ng’odya aliyefunga mabao mawili. Bao la pili alifunga dakika 53 ikiwa ni kipindi cha…
PETER Banda kiungo wa Simba ni miongoni mwa wale watakaonza leo Juni 6,2023 kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons. Ni mchezo wa mzunguko wa pili ikiwa ni mzunguko wa pili. Banda hajawa kwenye ubora msimu huu kutokana na kupambania afya yake muda mrefu. Ni shuhuda wa watani zao wa jadi Yanga wakitwaa ubingwa wa ligi…
UBAO wa Uwanja wa Sokoine Mbeya unasoma Mbeya City 2-0 Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Mbeya City wameanza kwa kasi kupachika bao la kuongoza dakika ya pili kupitia kwa George Sangija. Bao la pili limepachikwa na Richardson Ng’odya dakika ya 43 akiwa ndani ya 18. Jitihada za mastaa wa…
JUNI 6,2023 Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu. Mbali na Mangungu pia Mkurugenzi Mtendaji, Imani Kajula ni miongoni mwa viongozi waliokuwa kwenye mazungumzo hayo yaliyofanyika ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Viongozi hao waliambatana Mjumbe wa Bodi na Mwenyekiti wa Tawi…
BAADA ya kuwa kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kikosi cha Yanga leo kitakuwa na kazi Mbeya. Wachezaji wa Yanga pamoja na Benchi la ufundi Juni 5, 2023 walikuwa kwenye halfa ya pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Safari…
MTAMBO wa mabao ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira unaendelea kupikwa upya kwa ajili ya mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara. Timu hiyo ikiwa imegotea nafasi ya pili na pointi zake 67 ina kete mbili za kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya ligi msimu wa 2022/23 vinara wakiwa ni Yanga. Mbali na…
MTIFUANO mkubwa kwa wachezaji kusaka pointi tatu ndani ya uwanja unabebwa na kasi ya kuzitungua nyavu za walinda mlango ndani ya uwanja. Suala la kufunga ni muhimu ambapo kwa msimu wa 2022/23 mabingwa wa ligi ni Yanga. Kila timu ina mbinu zake kwenye kusaka ushindi na kuamua matokeo jambo linalofanya kila kitu kuwa kama ambavyo…
KIVUMBI na jasho kinatarajiwa kutimka leo kutokana na mzunguko wa pili kuendelea katika Ligi Kuu Bara 2022/23. Timu moja tayari imeshashuka daraja ambayo ni Ruvu Shooting inayonolewa Mbwana Makata na mabingwa ni Yanga. Bado timu moja inasakwa itaungana Ruvu Shooting Championship na mbili zitacheza hatua ya mtoano. Kesi ya ubingwa imeshafungwa ambapo mabingwa ni Yanga…