
SIMBA WANA ZALI NA MKWAKWANI
KATIKA mechi mbili za hivi karibuni ambazo Simba ilicheza Uwanja wa Mkwakwani, Tanga haijapoteza. Simba imekuwa na zali ndani ya dakika 90 kutopoteza kwenye mechi za ushindani ambazo walicheza na leo wana kazi ya kufanya dhidi ya Yanga. Ni Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Yanga na Simba zote zimeweka…