Saleh

HUZUNI INATOSHA KIMATAIFA, KICHEKO KIPATIKANE

HUZUNI kwa mashabiki kushindwa kupata kicheko kwenye mechi za kimataifa inapaswa kuondolewa na wachezaji uwanjani. Hali haijawa nzuri kwenye mechi za kimataifa ambapo ni timu mbili kutoka ardhi ya Tanzania zinafanya kazi yake. Yanga na Simba katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kila timu ikiwa imecheza mechi mbili hakuna iliyoambulia ushindi jambo linaloongoza…

Read More

WAARABU WAMPA TUZO PACOME BONGO

LICHA ya kuambulia pointi moja kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa bado Yanga hawakumaliza mechi hiyo kinyonge. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 2 na ubao ukasoma Yanga 1-1 Al Ahly ya Misri bao alilofunga nyota wa Yanga limebeba tuzo ya bao bora la wiki. Ni Pacome Zouzoua alipachika bao la…

Read More

KOCHA SIMBA AMEKIRI MAMBO NI MAGUMU, MABORESHO YANAKUJA

IKIWA ni mchezo wake wa kwanza kukiongoza kikosi cha Simba, Desemba 2 na ubao kusoma Jwaneng Galaxy 0-0 Simba. Kocha Benchikha ameweka wazi kuna mapungufu ambayo yapo na mambo mengi yanapaswa kufanyiwa kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi zinazofuata. Timu hiyo mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco, Desemba 9

Read More

ZIMETUNGULIWA ZAIDI YA MABAO 10 BONGO

KUFAHAMU ukweli kisha ukaongopa sio utani hiyo inaumiza, muhimu kutibu tatizo lilipo kuwa bora kwenye mechi za ushindani, hivyo tu basi. Kwenye mwendo wa data tunakuja na timu ambazo zimeokota mabao zaidi ya 10 kwenye mechi ambazo walishuka uwanjani namna hii:- Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu huu wanautumia kwa mechi za nyumbani wakiwa na ngome…

Read More

Meridianbet Yasema Sasa ni Zamu ya Posta

Jade Valley ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa kwa ustadi katika mistari mitatu, sloti yenye mistari 50 ya malipo unaopatikana Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Unapocheza sloti hii ya kasino ya mtandaoni ili ushinde unapaswa kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari, na ushindi kuhesabiwa kutoka nguzo ya kushoto. Kila mstari wa malipo…

Read More

SIMBA KAZI IPO, KUWAVAA WAARABU WENYE NJAA

BAADA ya kuvuna pointi moja ugenini ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hesabu za wawakilishi wa Tanzania ni mchezo wao ujao dhidi ya Wydad Casablanca. Kibarua kigumu kwa Simba kukutana na Waarabu wa Morocco wenye njaa ya kupata ushindi wakati Simba wakiwa kwenye mwendo wa kusuasua katika kupata matokeo. Desemba 3 2023 kikosi…

Read More

YANGA YAKOMBA POINTI MOJA KWA MKAPA

DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Yanga kutoshana nguvu na Al Ahly. Ubao umesoma Yanga 1-1 Al Ahly ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Bao la Al Ahly lilifungwa dakika ya 86 kupitia kwe Percy Tau na lile la usawa ni mali ya Pacome Zouzoa dakika ya…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA AL AHLY

YANGA ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa. Langoni anaanza Djigui Diarra kwenye siku ya leo ambayo inakwenda kwa jina la Bacca Day. Yao Joyce Lomalisa Nondo Dickson Job Maxi Nzengeli Aziz KI Pacome

Read More

SIMBA YAAMBULIA SARE TENA UGENINI

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wameambulia sare ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy. Ni sare ya pili leo wanapata katika hatua ya makundi baada ya mchezo wa kwanza kuambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya ASEC Mimosas mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ngoma ni nzito kwa Simba kwenye hatua ya makundi…

Read More

JWANENG 0-0 SIMBA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Afrika kwa wawakilishi wa Tanzania wakiwa ugenini ni mapumziko. Dakika 45 zimekamilika ambapo ubao unasomaJwaneng Galaxy 0-0 Simba. Ayoub Lakred yupo langoni akitimiza majukumu yake kwenye mchezo wa leo huku Ally Salim akiwa benchi. Jean Baleke anaongoza safu ya ushambuliaji akishirikiana na Saido Ntibanzokiza kwa kiungo…

Read More