
AUCHO YAMEMKUTA HUKO
TIMU ya taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 imeanza kwa kupoteza mchezo wa kwanza wa kundi G dhidi ya Guinea kwa mabao 2-1. Kiongozi wao ni nahodha Khalid Aucho anayeikipiga ndani ya kikosi cha Yanga, Uganda iliokota bao la dakika za jioni likifungwa na Seydouba Cisse katika dakika za nyongeza…