
AMEONGEZEWA DOZI MWAMBA WA MABAO YANGA
AMEONGEZEWA dozi mwamba wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga huko
AMEONGEZEWA dozi mwamba wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga huko
NDANI ya Februari kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kina kazi kubwa ya kusaka pointi tatu ambazo wapinzani wao wanazihitaji pia. Kigongo cha kwanza kinatarajiwa kuwa leo Februari 3 ugenini mwisho wa reli Kigoma kwa kupambana dhidi ya wenyeji wao Mashujaa Uwanja wa Lake Tanganyika. Katika mchezo wa leo Simba imemuongeza kiungo…
MCHEZO wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kwa Februari 2 2023 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kagera Sugar 0-0 Yanga. Mchambuzi wa masuala ya michezo akiegemea zaidi kwenye mifumo Sisintinho Martin amebainisha kuhusu mbinu na namna ambavyo Kagera Sugar walifunga bao ambalo mwamuzi alibainisha kuwa ilikuwa ni mtego wa kuotea….
ISHU ya beki wa kazi Henock Inonga, kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha amekinukisha huko
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amewekwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari baada ya kupelekwa Hospitali kutokana na kuugua maradhi ya kifua Taarifa ya Msemaji wa Familia, Abdullah Ali Mwinyi imeeleza kuwa kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu…
WABABE wawili leo Februari 2 2024 wametoshana nguvu ndani ya mchezo wa Ligi Kuu kwenye msako wa pointi tatu ndani ya dakika 90. Kwenye mchezo wa leo ambao kipindi cha kwanza timu zote zilizheza kwa kushambuliana kwa kushtukiza mabeki na makipa walikuwa kazini kutimiza majukumu yao. Mpaka dakika 90 zinakamilika ilikuwa ni Kagera Sugar 0-0…
WASHINDANI wawili ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania kila mmoja kwa wakati wakati kapeta kwa kukomba pointi tatu uwanjani. Ni JKT Queens 6-0 Baobab Queens mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Amina Bilal, Jackline, Donisia Minja na Stumai Abdallah huyu katupia hat trick. Kwenye mchezo mwingine ambao ulikuwa unafuatiliwa kwa ukaribu ilikuwa ni ule…
FUNGUA kazi ndani ya Februari katika Ligi Kuu Bara ni Uwanja wa Kaitaba kwa wababe wawili kusaka pointi tatu. Dakika 45 ubao unasoma Kagera Sugar 0-0 Yanga inayofundishwa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi. Katika dakika za 45 za mwanzo kila timu imekuwa ikicheza kwa tahadhari na kushambulia kwa kushtukiza kutafuta ushindi.
Meridianbet Inakuletea mchezo kasino mtandaoni wa kushangaza ambao utakushangaza kwa jinsi. Unakaribishwa kukutana na Vikings ambao watakupatia bonasi za kasino mtandaoni za kushangaza. Ni wewe tu kujumuika nao. Thirsty Viking ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Synot. Burudani yenye nguvu inakusubiri katika mchezo huu. Kuna mizunguko ya bure yenye nembo za wild na…
LIGI Kuu Bara F2 2024 inarejea kwa mara nyingine tena baada ya mapumziko yaliyotokana na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushiriki mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Ni hatua ya makundi Stars iligotea ikukusanya pointi mbili katika michezo mitatu iliyocheza huku bao likifungwa moja na nyota Simon Msuva. Leo Kagera Sugar…
LIGI ya Wanawake Tanzania kazi inaendelea kwa kila timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu na kwenye raundi ya saba kuna maajabu saba yameandikwa tunakugusia baadhi namna hii:- Mabao 12 yamefungwa kwenye mzunguko wa saba baada ya mechi tano kuchezwa ikionyesha ugumu wa ligi kuendelea tofauti na ilivyokuwa mzunguko wa sita yalipofungwa mabao 13. Hakuna…
GAMONDI Ashtuka jambo Yanga, Nabi amvuta Inonga FAR Rabat ndani ya gazeti la Championi Ijumaa
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelahk Benchikha amezungumzia kuhusu wachezaji wake wapya waliojiunga na timu hiyo kwenye dirisha dogo. Februari 2 2024 Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
MADAKTARI wa Yanga wanaangalia uwezekano mkubwa wa kumpa kifaa maalum cha ‘Mask’ kiungo wake mpya Augustine Okrah aliyepata jeraha eneo la puani. Kiungo huyo alipata majeraha hayo katika Kombe la Mapinduzi mwezi Januari, baada ya kugongana na mchezaji wa timu pinzani na kupata majeraha katika mishipa ya puani. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika dirisha…
KOCHA Mkuu wa Yanga amechukua maamuzi ya kuwabakisha Jijini Dar es Salaam mabeki wake tegemeo nahodha Bakari Mwamnyeto na Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kwa hofu ya kujitonyesha majeraha huku kiungo mkabaji Khalid Aucho akiungana na msafara wa timu hiyo, baada ya kumaliza adhabu ya michezo mitatu. Kikosi cha Yanga jana alfajiri kilipanda Ndege kuelekea Mkoani Kagera…
LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea ambapo timu zote zipo kwenye hesabu za msako wa pointi tatu muhimu. Januari 31 Simba ilifunga kwa mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Tembo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Februari Mosi Kikosi cha Simba SC, kimetua mkoani Kigoma kwa ajili ya kukabiliana na Mashujaa FC kwenye mchezo wa ligi…
Kama umekuwa unapendelea mambo na historia za kale, basi kuna jambo lako pale Meridianbet kasino ya mtandaoni. Mara hii unakaribishwa kwenye safari ya kuvutia kwenye Dola la Kirumi. Jiandae kukutana na wapiganaji mashujaa ambao wanaweza kuleta zawadi za kasino za kipekee. Rome Warrior ni mchezo wa kasino mtandaoni uliotengenezwa na kampuni ya BF Games. Vitu…