JKT Tanzania 2-1 Mbeya City

JKT Tanzania 2-1 Mbeya City ni matokeo rasmi katika mchezo wa NBC Premier League, Oktoba 18,2026 uliopigwa Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo.

Mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na Valentino Mashaka dakika ya 45+3 na Magata Frederick dakika ya 88.Bao la Mbeya City lilipachikwa na Joseph Mabaga dakika ya 90+3.

Kusengama wa JKT Tanzania alichaguliwa kuwa Man of The Match baada ya dakika 90 katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa

.JKT Tanzania inafikisha pointi 13 ikiwa nafasi ya 8, Mbeya City imesaliwa na pointi 10 nafasi ya 9.Vinara kwenye msimamo ni Simba SC wakiwa na pointi 24 baada ya mechi 8, nafasi ya pili ni Yanga SC mabingwa watetezi wakiwa na pointi 18.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4