JKT Tanzania 2-1 Mbeya City
JKT Tanzania 2-1 Mbeya City ni matokeo rasmi katika mchezo wa NBC Premier League, Oktoba 18,2026 uliopigwa Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo. Mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na Valentino Mashaka dakika ya 45+3 na Magata Frederick dakika ya 88.Bao la Mbeya City lilipachikwa na Joseph Mabaga dakika ya 90+3. Kusengama wa JKT Tanzania alichaguliwa kuwa…