Meridianbet yakabidhi vifaa vya usafi Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni, yaendeleza dhamira ya kuigusa jamii

Wakati wengi wakiitambua Meridianbet kama moja ya majukwaa yanayoongoza kwa michezo ya kasino mtandaoni na ubashiri wa mechi zenye ushindani mkubwa, kuna simulizi nyingine inayozidi kuvutia mioyo ya Watanzania. Ni simulizi ya kampuni inayoamini kuwa mafanikio ya kweli hayapimwi kwa idadi ya michezo pekee, bali pia kwa mchango wake katika kuboresha maisha ya jamii. Meridianbet imeandika ukurasa mpya wa historia baada ya kufika Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni iliyopo Mabwepande na kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya usafi vikiwemo sanitizer, dustbins, sabuni, gumboots, mifagio pamoja na vifaa vingine muhimu kwa ajili ya kuboresha mazingira ya hospitali.

Mazingira safi ndani ya hospitali yana mchango mkubwa katika utoaji wa huduma bora za afya. Kwa kulitambua hilo, Meridianbet imeamua kuwa sehemu ya suluhisho kwa kuhakikisha watumishi wa afya wanapata vifaa vinavyorahisisha kazi zao za kila siku na kuwapa wagonjwa mazingira yenye usalama na faraja zaidi. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisema kampuni hiyo imejenga msingi imara wa uwajibikaji kwa jamii na itaendelea kushirikiana na taasisi mbalimbali zinazogusa maisha ya wananchi. Alisisitiza kuwa sekta ya afya ni moja ya maeneo yenye umuhimu mkubwa, hivyo Meridianbet itaendelea kutumia mafanikio yake kuleta mabadiliko chanya yanayoonekana kwa vitendo.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wake, uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni ulitoa shukrani za dhati kwa Meridianbet kwa msaada huo muhimu, ukieleza kuwa vifaa hivyo vitachangia kwa kiwango kikubwa kuimarisha usafi wa mazingira ya hospitali na kuongeza ubora wa huduma zinazotolewa kwa wagonjwa. Walieleza kuwa vifaa hivyo vitakuwa sehemu muhimu ya shughuli za kila siku za hospitali, huku wakisisitiza kuwa ushirikiano wa sekta binafsi na taasisi za umma una nafasi kubwa katika kuboresha maisha ya wananchi. Kwa miaka mingi sasa Meridianbet imeendelea kushiriki katika miradi mbalimbali ya uwajibikaji kwa jamii ikisaidia shule, hospitali na vituo vya watoto yatima, jambo linalodhihirisha kuwa dhamira yake ya kuleta maendeleo haipo kwenye maneno bali kwenye vitendo vinavyoonekana.

Kwa wanaotafuta burudani yenye ubora, nafasi za ushindi na kampuni inayojali jamii, Meridianbet inaendelea kuwa chaguo sahihi. Kila unapocheza unakuwa sehemu ya safari ya kampuni inayowekeza katika maendeleo ya Watanzania kupitia miradi ya uwajibikaji kwa jamii. Hiyo ndiyo falsafa ya Meridianbet, kuunganisha burudani, matumaini na maendeleo katika jukwaa moja.