MFUNGAJI BORA MUUNGANO CUP HUYU HAPA
MAXI Nzengeli ni mfungaji bora Muungano Cup 2025 akifunga jumla ya mabao mawili kwenye mechi tatu ambazo Yanga SC imecheza. Nzengeli alifungua ukurasa wa mabao katika mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Zimamoto ilikuwa Aprili 29 2025 alipopachika bao dakika ya 29. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Gombani ulisoma…