Beki wa kazi amerejea Yanga SC
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Pedro Goncalves amerejea uwanjani baada ya kuwa nje akipambania kurejea kwenye ubora. Ni Yao Attohoula ambaye alikuwa nje kwa muda wa miezi 8 bila kucheza mchezo wa ushindani licha ya kuanza mazoezi bado hakuwa kamili kucheza mechi uwanjani. Alirejea rasmi uwanjani Januri…