Simba SC vs Mashujaa FC, Uwanja wa Uhuru

MCHEZO mkali wa NBC Premier League unatarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa Uhuru, Simba SC vs Mashujaa FC. Simba SC ni vinara wenye pointi 21 baada ya mechi 7 wanawakaribisha Mashujaa FC walio nafasi ya 4 kwenye msimamo wamevuna pointi 12 baada ya mechi 7. Pambano hili la kukata na shoka linatarajiwa kupigwa saa 1:00 usiku….

Read More