Simba Queens Yatwaa Ngao Ya Jamii 2026, Yanga Princess Washika Nafasi Ya Tatu
Simba Queens wameanza msimu kwa kutwaa Ngao ya Jamii Wanawake 2026 baada ya kuifunga JKT Queens bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye uwanja wa KMC Complex. Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Aisha Mnunka, lililowapa Simba Queens ushindi na kuwafanya kutwaa taji hilo. Wakati huo huo, Yanga Princess wameshika nafasi ya tatu katika mashindano hayo…