Usiku wa Champions League: Levski na AEK Athens Kwenye Vita ya Play-Off

Leo Jumanne, Agosti 18, 2026 saa 22:00, uwanja wa Vasil Levski National Stadium jijini Sofia utakuwa mwenyeji wa mchezo mzito wa hatua ya mwisho ya kufuzu (play-off, mchezo wa kwanza) wa UEFA Champions League msimu wa 2026/27.

Levski Sofia watapokea ugeni wa mabingwa wa Ugiriki, AEK Athens, katika pambano ambalo mshindi wake ataingia moja kwa moja kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya jambo ambalo halijawahi kutokea kwa Levski kwa miaka ishirini iliyopita.

Levski wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na fomu ya ajabu na kujiamini kikubwa. Baada ya kuvunja ukame wa miaka 17 bila kutwaa ubingwa wa ligi ya nyumbani msimu uliopita, timu hii imeendelea na kasi hiyo katika msimu mpya. Katika njia ya kufuzu,

wamewaondoa Borac Banja Luka, Universitatea Craiova, na hivi karibuni Kairat Almaty kwa jumla ya mabao 2-0, huku wakifunga bao la ushindi dakika ya 13 kupitia kwa Reinaldo. Kinachovutia zaidi ni ulinzi wao imara wameweka “clean sheet” katika mechi nne mfululizo na kufunga mabao matatu tu katika mechi sita za kufuzu.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa AEK Athens, timu ya Ugiriki inakuja Sofia ikiwa na msimamo mzuri pia, ikiwa haijafungwa katika mechi 13 za mwisho. Hata hivyo, rekodi yao ya ulinzi si thabiti kama ya Levski, kwani wameshindwa kuwa na “clean sheet” katika mechi nne kati ya sita za hivi karibuni.

Kabla ya safari hii, AEK walipata sare 1-1 dhidi ya Olympiacos kwenye ligi, na sare nyingine 2-2 dhidi ya OFI Crete katika Kombe la Super Cup kabla ya kuangushwa kwa mikwaju ya penalti. Mchezaji wao pekee aliye nje kwa jeraha ni Mijat Gacinovic, ambaye atakuwa nje hadi Septemba.