Yanga SC Yamuuza Allan Okello FAR Rabat

Klabu ya Yanga SC imekubali kumuuza winga wake wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello, kwenda FAR Rabat ya Morocco kwa ada kubwa ya uhamisho. Okello, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga, sasa anaelekea kuanza changamoto mpya katika soka la Morocco baada ya pande hizo kufikia makubaliano ya uhamisho wake. Uhamisho huo unatajwa kuwa wa…

Read More

Ratiba ya NBC Premier League Agosti 15,2026

Agosti 15,2026 NBC Premier League inatarajiwa kuendelea mara baada ya pazia kufunguliwa rasmi Agosti 14,2026. Kuna mechi 3 kali zinatarajiwa kuchezwa leo katika viwanja vitatu tofauti ambapo mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa ugenini. Polisi Tanzania vs Azam FC, saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Coastal Union vs Mashujaa FC, saa 12:30 jioni,…

Read More