Mngqithi Afungua Ukurasa Mpya, Asema Yanga Ipo Tayari Kwa Derby
Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, akieleza kuwa ana imani na uwezo wa wachezaji wake katika kukabiliana na presha ya Kariakoo Derby. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Agosti 11, mjini Zanzibar, Mngqithi amesema maandalizi ya timu yake yamekwenda vizuri licha…