Belgrade ilichangamka kwelikweli usiku wa Agosti 1, 2026, na hii haikua kwa sababu ya mapambano pekee, bali pia kwa sababu Meridianbet ilikuwa sehemu muhimu ya mapambano hayo makubwa ya UFC. Kama mdhamini wa tukio hilo, Meridianbet iliingia kwenye moja ya majukwaa makubwa ya MMA na kuwa sehemu ya usiku ambao ulileta msisimko mkubwa ndani na nje ya Belgrade Arena.
Kisha likaja pambano kuu ambalo liliwafanya mashabiki kukaa midomo wazi. Uroš Medić alimvaa Daniel Rodriguez na ndani ya sekunde 30 tu, kazi ilikuwa imekwisha. Medić alitoa mfululizo wa mashambulizi ya kasi, akamaliza pambano kwa ngumi kali ya mkono wa kushoto iliyomwangusha Rodriguez, kabla mwamuzi kusimamisha pambano na kumpa Medić ushindi wa TKO.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Lakini nyuma ya burudani hiyo kulikuwa na simulizi kubwa zaidi kwa Meridianbet. Michael “PQD” Oliveira, mpiganaji wa Brazil anayefadhiliwa na Meridianbet Brazil, naye alikuwa kwenye kadi hiyo na akaanza safari yake ya UFC kwa knockout ya raundi ya kwanza. Hii ilifanya uwepo wa Meridian kwenye tukio hilo kuwa wa kipekee zaidi, kwani chapa hiyo ilionekana sambamba na vipaji vya MMA kutoka maeneo tofauti.
Kwa upande wa kampuni, udhamini huo uliingia wakati Meridian Holdings ikiwa katika kipindi kipya baada ya kupata matokeo mazuri katika robo ya pili na kuingia chini ya uongozi wa Zoran Milosevic kama CEO mpya wa Meridian Holdings Inc. Jukwaa la UFC likawa sehemu ya kuonyesha mwelekeo mpya na nguvu ya chapa katika soko la kimataifa la michezo.
Kutoka kwenye nembo ya Meridianbet hadi kwenye octagon, kila kitu cha Belgrade Arena kilikuwa na simulizi moja, michezo mikubwa na chapa kubwa kukutana kwenye jukwaa moja. Meridianbet imeondoka Belgrade ikiwa imeacha alama yake kwenye usiku wa kihistoria wa UFC nchini Serbia.