Mourinho Afichua Alisaini Mkataba wa Kuchukua Manchester United Baada ya Sir Alex

JOSE Mourinho amefichua kuwa aliwahi kusaini makubaliano ya kuchukua nafasi ya ukocha wa Manchester United kutoka kwa Sir Alex Ferguson mwaka 2013, lakini akabadilisha uamuzi baada ya kutoa ahadi ya kurejea Chelsea. Mourinho amefichua siri hiyo kupitia makala yake mpya ya Netflix, akieleza kuwa alikubaliana kuichukua Manchester United baada ya kuondoka Real Madrid. “Nilikwenda Chelsea…

Read More

Simba SC yawasili Zanzibar Agosti 10,2026

RASMI kikosi cha Simba SC Agosti 10,2026 kimewasili Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC. Agosti 12,2026 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwa watani hawa wa jadi kuwa uwanjani kupambania taji ya Ngao ya Jamii. Miongoni mwa wachezaji waliopo katika msafara ni Ibrahim Doumbia, Rushine De Reuck, Ellie…

Read More