Marekani Yaweka Masharti Mapya ya Usalama kwa Wageni wa Kombe la Dunia la 2026

Mamlaka za Marekani zimeunda kikosi kazi maalum (task force) kitakachosimamia usalama na uchunguzi mkali wa mashabiki, wachezaji na wageni wote watakaofika nchini Marekani wakati wa Kombe la Dunia la FIFA 2026. Hatua hiyo imekuja baada ya matukio kadhaa ya kuhojiwa na kucheleweshwa kwa watu wanaohusiana na michuano hiyo, ikiwemo mshambuliaji wa Iraq Aymen Hussein aliyekamatwa…

Read More

Ndoto Yafutika! FIFA Yathibitisha Omar Artan Hatakuwepo Kombe la Dunia 2026

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA limethibitisha kuwa mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan, hatachezesha mechi za Kombe la Dunia 2026 baada ya kunyimwa kuingia nchini Marekani. Kwa mujibu wa FIFA, Artan hataweza kufanya mazoezi wala kuchezesha mashindano hayo kufuatia uamuzi wa mamlaka za Marekani kutomruhusu kuingia nchini humo, licha ya kuripotiwa kuwa alikuwa na visa…

Read More