El Clásico Ya Moto: FC Barcelona vs Real Madrid CF Kuamua Bingwa La Liga
Pata shika Leo Mei 9 saa 10:00 usiku Uwanja wa Spotify Camp Nou utakuwa mwenyeji wa mchezo wa El Clasico kati ya Barcelona nafasi ya 1 na Real Madrid nafasi ya 2. Barcelona wakiongoza Ligi wakiwa na pointi 88, wana pointi 11 mbele ya Real Madrid walio na pointi 77 . Kwa tofauti hiyo, wanahitaji…