Matokeo ya Muungano Cup 2026
Muungano Cup 2026 inatarajiwa kufika tamati Aprili 29, 2026 kwa mchezo wa fainali Yanga SC vs Simba SC, saa 2:15 usiku Uwanja wa New Amaan Complex. Hapa tunakuletea matokeo ya timu zote 8 kuanzia hatua ya robo fainali namna hii:- Matokeo Muungano Cup 2026 Timu Tarehe Mechi Hatua Matokeo Yanga SC Aprili 21, 2026 Yanga…