Manchester City Yashinda 2-1 Dhidi ya Arsenal FC, Erling Haaland Aibeba Timu Kwenye Mbio za Ubingwa

Erling Haaland ameibuka shujaa wa Manchester City baada ya kufunga bao la ushindi lililoihakikishia timu yake ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal FC, matokeo yaliyotikisa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England. City walianza kwa kasi na kupata bao la kwanza kupitia Rayan Cherki, aliyefunga bao la kuvutia baada ya kupita mabeki kadhaa…

Read More

Namungo FC vs Simba SC NBC Premier League leo

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa maandalizi yamekamilika na vijana wapo tayari kwa mchezo wa leo vs Simba SC. Namungo FC vs Simba SC ni mchezo wa NBC Premier League unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa huku wageni wakiwa ni Simba SC. Hii ni ligi namba 6 kwa ubora ushindani unekuwa mkubwa kutokana…

Read More