Singida Black Stars 1-2 Azam FC NBC Premier League

Singida Black Stars 1-2 Azam FC NBC Premier League matokeo rasmi ya mchezo wa leo Aprili Mosi, 2026, Singida.  Kwa mara nyingine tena wenyeji wamepoteza alama tatu muhimu kutoka kwa timu ambazo zipo ndani ya 3 bora kwenye msimamo wa ligi. Ilianza kupoteza mbele ya Yanga SC kwa kufungwa goli 3-0 kisha Simba SC kwa…

Read More

Italia Yatolewa kwa Aibu, Bosnia Yatinga World Cup 2026

Timu ya Taifa ya Italy National Football Team imeendelea kukumbwa na jinamizi la kukosa FIFA World Cup 2026 baada ya kushindwa kufuzu kwa mara ya tatu mfululizo (2018, 2022 na 2026). Italia imeondoshwa kwenye mchujo wa mwisho kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Bosnia and Herzegovina National Football Team, baada ya sare ya 1-1…

Read More

Simba SC vs Coastal Union kesho inapigwa

Simba SC vs Coastal Union kesho inapigwa Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo saa 1:00 usiku kwa wababe hawa kupambania pointi tatu. Tayari wapinzani wa mnyama, Coastal Union wapo katika ardhi ya Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo. Hussen Mchovu, maarufu kama Diego, Ofisa Habari wa Coastal Union amesema kuwa wamefika na orodha ya…

Read More

Matokeo ya mechi zilizopita Azam FC

Matajiri wa Dar, Azam FC leo Aprili Mosi 2026 watakuwa kwenye shughuli kuwakabili Singida Black Stars mchezo wa ligi. Ni saa 10:00 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa, Uwanja wa Airtel kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu. Hapa tunakusogezea matokeo ya mechi 5 kwa Azam FC ndani ya Machi, 2026 NBC Premier League:- Machi 2, 2026,…

Read More

Singida Black Stars vs Azam FC kinawaka leo

Singida Black Stars vs Azam FC NBC Premier League kinawaka leo kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Wababe hawa wanakutana Aprili Mosi 2026 ikiwa ni mchezo pekee utakaochezwa mara baada ya mapumziko yaliyotokana na kalenda ya FIFA. Katika mechi mbili kubwa wenyeji wakiwa nyumbani ndani ya mwezi Machi waliangasuha pointi tatu baada ya dakika 90….

Read More