Yanga Yashauriwa Kubadili Kocha na Benchi la Ufundi – Video
Mtangazaji na mchambuzi wa soka, Ibrahim Rajab maarufu kama Ball Dancer, ametoa ushauri kwa Young Africans SC kuachana na kocha wao Miguel Angel Gamondi (Pedro), akidai kuwa ameshindwa kukuza viwango vya wachezaji wa timu hiyo. Rajab amesema kuwa licha ya Yanga kuwa na kikosi chenye vipaji, maendeleo ya wachezaji binafsi hayajionyeshi kwa kiwango kinachotarajiwa chini…