FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa moja. Kauli hii inatokana na hofu kwamba tabia hiyo inaweza kuashiria kauli zisizofaa, hasa zinazohusiana na ubaguzi wa rangi. Pendekezo la Infantino limekuja baada ya tukio lililomkumba nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior kibaguzi na…

Read More

Pata Uchambuzi wa Michezo na Fursa za Ubashiri Kupitia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet…

Read More

Simba SC wana msongo wa mawazo kisa kichapo

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kwa sasa kikosi hicho kinakabiliwa na presha kubwa na msongo wa mawazo. Sababu kubwa inayofanya hayo yote ni kufuatia mzigo wa matokeo mabaya katika mechi 6 zilizopita za Kariakoo Dabi. Kwenye mechi hizo Simba SC ilipoteza na kipigo kikubwa Novemba 5,2023 baada ya…

Read More

Kariakoo Derby Kupigwa Amaan Complex Leo Usiku

Macho na masikio ya mashabiki wa soka nchini yataelekezwa Zanzibar usiku wa leo wakati watani wa jadi watakapokutana katika pambano la Kariakoo Derby. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa katika dimba la Amaan Stadium (Amaan Complex) kuanzia saa 2:15 usiku, huku presha ikiwa kubwa kwa kila upande kusaka ushindi muhimu. Kariakoo Derby imekuwa moja ya mechi zenye…

Read More

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome

Yanga SC vs Simba SC taarifa mpya kuhusu Pacome imetolewa ambapo wababe hao wawili wanatarajia kukutana Uwanja wa New Amaan Complex. Pacome hakuwa sehemu ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambapo Yanga SC ilipata ushindi wa magoli 5-0 anatajwa kuwa huenda leo Machi Mosi akawa sehemu ya kikosi mara baada yakufanya mazoezi na wachezaji wenzake….

Read More