Eze Aibeba Arsenal Dakika za Mwisho Baada ya Mansfield Kuwasumbua Vibaya

Meneja wa Mikel Arteta alifanya maamuzi ya hatari katika upangaji wa kikosi, lakini hatimaye Arsenal walifanikiwa kusonga mbele baada ya ushindi mwembamba dhidi ya Mansfield Town katika pambano kali la raundi ya tano ya mashindano ya kombe. Arteta, ambaye mara nyingi hukosolewa kwa kuwatumia kupita kiasi wachezaji wake nyota hadi kupata majeraha, aliamua kuwapumzisha baadhi…

Read More

Burudani Yarejea kwa Kishindo Kupitia Gates of Halloween Meridianbet

Katika kuendeleza ubunifu kwenye sekta ya burudani za mtandaoni, Meridianbet imeendelea kuimarisha nafasi yake sokoni kupitia mchezo unaovutia wa Gates of Halloween. Mchezo huu umechota hamasa ya Halloween na kuiwasilisha kwa muonekano wa kisasa unaojumuisha teknolojia, ubunifu na msisimko wa hali ya juu. Tofauti yake kubwa ipo kwenye mfumo wake wa kipekee wa ushindi. Kupatikana…

Read More

Simba SC 2-0 B19 FC

Simba SC 2-0 B19 FC katika mchezo wa hatua ya 32 CRDB Federation Cup, Uwanja wa Mej. General Isamuhyo. Watupiaji ni Inno Loemba dakika ya 22 kwa pigo la kichwa na Clatous Chama dakika ya 77 akitumia pasi ya Ellie Mpanzu. Mpanzu na Chama wote walianzia benchi mchezo wa leo. Chama alichukua nafasi ya kiungo…

Read More

Ujumbe kwa Kamati ya Saa 72

Takribani nusu siku tokea Kamati ya Saa 72 itangaze adhabu kadhaa kwa wakosefu ambao hakika wanapaswa kujirekebisha. Lakini wazi kuonaonekana ndani yake kuna SIASA na haiwezi kuwa msaada kwa wachezaji wetu, klabu au mpira wa Tanzania. Adhabu ya Mwalimu wa Simba ni sahihi kabisa na anapaswa kujifunza kwa kuwa alifanya shambulizi hata kama aliyeshambuliwa alianza….

Read More

Kwa Slotopia Ya Meridianbet, Sasa Kila Mzunguko Unakupa Ushindi

Soko la burudani ya kasino mtandaoni sasa limepata nguvu mpya baada ya Meridianbet kuijumuisha Slotopia, mtengeneza michezo anayelenga kuwapa wachezaji burudani isiyo na kikomo pamoja na bonasi na zawadi kemkem. Uzinduzi huu unaashiria kipindi kipya cha ushindi, ambapo kila mzunguko wa mchezo ni fursa ya kuongeza mapato. Slotopia imeundwa kwa lengo la kuhakikisha kila mchezaji…

Read More

Bonasi Za Kibabe Zinamiminika Ukicheza Zombie Apocalypse

Msisimko mpya umeikumba tasnia ya michezo ya kasino mtandaoni baada ya Meridianbet kuungana na wabunifu mahiri wa michezo, Expanse Studios, kuleta mchezo wa kipekee wa Zombie Apocalypse. Huu ni zaidi ya mchezo uliozoeleka machoni pa wengi, hapa unasisimka kwa michoro ya kuvutia, sauti na mandhari inayokuweka katikati ya mapambano ya ushindi. Kupitia ofa hii maalum,…

Read More