Kiungo wa Real Madrid Afumania Mke Wake Akiongea na Mwingine
Kiungo wa Real Madrid C.F., Aurelien Tchouaméni, amepata mshtuko mkubwa katika maisha yake ya kibinafsi baada ya kumkuta mke wake akizungumza na mwanamume mwingine, licha ya kumpa posho ya kila wiki ya £25,000 (takriban Tshs 86 milioni) na kumnunulia nyumba huko Fuenlabrada, Spain . Hali hii imechukua msongo wa mawazo mkubwa kwa kiungo huyo, kiasi…