Orodha ya wakali wa pasi za mwisho NBC Premier League
Katika eneo la kutengeneza pasi za mwisho ndani ya NBC Premier League wakali wawili wapo kwenye chati wakiwa wametengeneza pasi nyingi ambazo ni 5. Ni Ellie Mpanzu wa Simba SC yupo sawa na kiungo wa Azam FC Feisal Salum ambao hawa wote wamekuwa katika ubora kwenye eneo la kutengeneza pasi za mwisho. Wengine kwa mujibu…