Galatasaray Wazidi Kung’ara Ligi Kuu Uturuki, Kubeba Ubingwa?
Ligi kuu ya Uturuki ni moja ya ligi pendwa sana hapa Ulimwenguni kwani imekuwa ikitoa matokeo ya ajabu inapokutana na timu zingine na kufanya watu wengi kuifatailia. Je msimu huu mpaka sasa wapo wapi? Klabu hii ya Galatasaray ni moja ya klabu zenye historia kubwa na ushawishi mkubwa ndani ya Süper Lig, na msimu huu…