Beckham Aonesha Uwanja Mpya wa Inter Miami Unavyokua kwa Kasi
Mmiliki mwenza wa klabu ya Inter Miami, David Beckham, amewasisimua mashabiki wa soka duniani baada ya kuchapisha picha zinazoonyesha maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, Miami Freedom Park. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Beckham ameonesha kuridhishwa na kasi na ubora wa ujenzi wa uwanja huo, akibainisha kuwa mradi huo uko katika…