Skip to content
Tuesday, April 28, 2026
  • Ujue muda wa mechi ya Yanga SC vs Simba SC
  • PSG na Bayern Munich: Ni Kivumbi Ligi ya Mabingwa Leo Usiku Kwenye Uwanja wa Parc des Princes
  • Matokeo ya Simba SC Muungano Cup 2026
  • Yanga SC vs Simba SC, Muungano Cup fainali

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Ujue muda wa mechi ya Yanga SC vs Simba SC
  • PSG na Bayern Munich: Ni Kivumbi Ligi ya Mabingwa Leo Usiku Kwenye Uwanja wa Parc des Princes
  • Matokeo ya Simba SC Muungano Cup 2026
  • Yanga SC vs Simba SC, Muungano Cup fainali

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • January
  • 9

January 9, 2026

  • Sports

Simba SC yapishana na kombe la kwanza 2026

Saleh4 months ago01 mins

SIMBA SC imepishana na kombe la kwanza ndani ya 2026 baada ya kupoteza nusu fainali ya kwanza mbele ya Azam FC. Januari 8 2026 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 1-0 Simba SC bao la ushindi likifungwa na Lameck Lawi dakika ya 73. Hili ni taji la kwanza ndani ya 2026 Simba SC…

Read More
  • International
  • Sports

Yanga Wakamilisha Usajili wa Kiungo Allan Okello kutoka VIPERS

Saleh4 months ago4 months ago01 mins

Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa Vipers, Allan Okello (25) kwa mkataba wa miaka miwili na nusu✅ Haikuwa kazi nyepesi kwani wiki hii vilabu vya MC Alger na Al Ahli Tripoli ya Libya,vilituma ofa nono ili kumpata kijana. Baada ya Rais wa Yanga kupata hizo taarifa akapanda ndege chapu kuelekea Uganda ili kumalizana na Rais…

Read More
  • International
  • Sports

Nyota wa Ghana, Semenyo, Asajiliwa Manchester City

Saleh4 months ago01 mins

Klabu ya Manchester City imetangaza kumsajili winga Antoine Semenyo kwa ada ya pauni milioni 62.5 (Euro milioni 72) kutoka klabu ya AFC Bournemouth. Semenyo 26, raia wa Ghana amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo mpaka Juni 2031 na atavaa jezi namba 42 iliyowahi kuvaliwa na nyota wa zamani wa Man City na Ivory Coast. Bournemouth…

Read More
  • Sports

Yanga Yatangaza EOI Ujenzi wa Uwanja wa Watazamaji 25,000+ Jijini Dar

Saleh4 months ago4 months ago01 mins

Klabu ya Yanga imeanza rasmi mchakato wa kuwarahisishia wawekezaji na wabia wa kimkakati kuwasilisha barua za kuonesha nia (EOI) kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa eneo la Jangwani/Twiga Street, jijini Dar es Salaam. Uwanja huo unaopangwa kujengwa utakuwa na uwezo wa watazamaji 25,000–35,000, ukiwa na hybrid pitch, maeneo ya VIP, mifumo ya…

Read More
  • International
  • Sports

Azam FC Yaifunga Simba, Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026

Saleh4 months ago4 months ago01 mins

Azam FC wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la NMB Mapinduzi 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC. Mchezo huo wa robo fainali umechezwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar, ambapo bao pekee la ushindi lilifungwa na Lawi dakika ya 73 ya mchezo, bao…

Read More
  • International
  • Sports

Furahia Michezo na Kasino Kwenye Meridianbet Sports Portal Leo

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Meridianbet Sport Portal ni jukwaa la kisasa linalolenga kuwahudumia wapenzi wa michezo na Kasino kwa kuwapa taarifa sahihi, burudani, na fursa za kipekee za ushindi. Kupitia mfumo wake rahisi na wa kuaminika, mashabiki wa michezo hupata matokeo ya papo kwa papo, takwimu za wachezaji, na nafasi ya kubashiri mechi mbalimbali duniani kote. Katika harakati za…

Read More
  • International
  • Sports

Furahia Michezo na Kasino Kwenye Meridianbet Sports Portal Leo

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Meridianbet Sport Portal ni jukwaa la kisasa linalolenga kuwahudumia wapenzi wa michezo na Kasino kwa kuwapa taarifa sahihi, burudani, na fursa za kipekee za ushindi. Kupitia mfumo wake rahisi na wa kuaminika, mashabiki wa michezo hupata matokeo ya papo kwa papo, takwimu za wachezaji, na nafasi ya kubashiri mechi mbalimbali duniani kote. Katika harakati za…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.