Kocha Yanga SC aomba kazi Simba SC
BAADA ya Dimitar Pantev kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Simba SC inatajwa kuwa kuna maombi ya makocha mbalimbali wametuma CV kukinoa kikosi hicho. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Seleman Matola ambaye mchezo uliopita alishuhudia kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Azam FC wakiwa Uwanja wa Mkapa. Hicho ni kipigo cha kwanza Simba…