AFCON 2025: Ratiba, Makundi na Timu Zinazotabiriwa Kufanya Vizuri
Michuano ya Mataifa Barani Africa (AFCON) inatarajiwa kuanza kurindima leo huku timu kibao zikijidhatiti kupambana kwa hali na mali ili iweze kuchukua taji hilo. Bingwa mtetezi yeye ataanza kumenyana dhidi ya Mozambique. Bashiri na Meridianbet sasa. Michuano hii itakuwa kwenye muundo wa makundi ambapo timu 24 ndio ambazo zimefuzu kushiriki michuano hii ambapo timu hizo…