>

Mgao wa Expanse Tournament Kasino Umeongezwa Meridianbet.

Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwa ya Expanse Tournament, inakupa bonasi za kasino huku ukifurahia mamilioni yakimwagika kila baada ya sekunde. Shiriki kwenye shindano hili ili uwe moja ya washindi. Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa Mamilioni unakusubiri, kwa kucheza…

Read More

UEFA MAMBO NI MOTO SANA

Meridianbet wanakwambia hivi, siku ya leo na kesho unaweza kupasua anga kwa kusuka jamvi lako ukiwa na akaunti yako ya Meridianbet kwani huku ndiko kuna mechi za kibabe na machaguo zaidi ya 1000. Kivumbi leo hii kitaanzia pale Parc des Princes ambapo PSG baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu Fainali wa…

Read More

COASTAL UNION YATOSHANA NGUVU NA PRISONS

POINTI moja waliyovuna kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons inawabakisha Coastal Union kwenye nafasi ile ya nne. Mei 6 2024, Coastal Union ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Coastal Union 0-0 Tanzania Prisons…

Read More

YANGA NDANI YA DAR KUWAKABILI KAGERA SUGAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga baada ya kukomba pointi tatu dhidi ya Mashujaa wamerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kutokana na kupata matokeo chanya kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani….

Read More

ALI KAMWE: AZIZ HAWEZI KUCHEZA NA WATU WANAOFANYA DHULUMA

“Aziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni kama kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ile” “Ziko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga, wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia…

Read More

MASIKINI MAN UTD IMEJICHOKEA, YAPIGIKA MAGOLI 4-0

Baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua katika Msimu wa 2023/24, mambo bado hayajapoa kwa Manchester United ambayo imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Crystal Palace kwenye mchezo wa Premier League Magoli ya Michael Olise (mawili), Jean-Philippe Mateta na Tyrick Mitchell yameifanya Palace kufikisha pointi 43 ikiwa nafasi ya 14 huku Man. United ikibaki…

Read More

SIMBA 2-0 TABORA UNITED

FT: LIGI Kuu Bara Mzunguko wa pili Simba 2-0 Tabora United Sadio Kanoute goal dakika ya 19 Edwin Balua goal dakika ya77. Simba ipo Uwanja wa Azam Complex Dar kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Tabora United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Ayoub Lakred ameanza langoni ikiwa ni mchezo wake wa tatu mfululizo…

Read More

MTIBWA SUGAR 0-2 AZAM FC

FT: Uwanja wa Manungu Ligi Kuu Bara Mzunguko wa pili Mtibwa Sugar 0-2 Azam FC. Feisal Salum goal dakika ya 20 Gibril Sillah goal dakika ya  65. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila inapambana kupata pointi tatu kujinusuru hatari ya kushuka daraja. Inapambana na Azam FC ambayo inasaka nafasi ya pili kufanikisha malengo…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO MANUNGU

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wana jambo lao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Manungu. Ni Morogoro mji kasoro bahari mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kwa wababe hao unatarajiwa kuchezwa kwa kila timu kusaka pointi tatu. Miongoni mwa wachezaji ambao wataanza kikosi cha kwanza ni pamoja…

Read More

SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA TABORA UNITED

BAADA ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, hesabu za Simba ni kupata ushindi mbele ya Tabora United. Ikumbukwe kwamba Simba ilipata ushindi huo kwenye mchezo wa ligi baada ya kupukutisha siku 50 bila kuambulia ushindi kwenye mechi za ligi. Ngoma ilikuwa Simba 2-0 Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA HESABU ZAO ZIPO HIVI

BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho wanakihitaji kwenye mechi ambazo wanacheza ni pointi tatu. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa wakiwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Mei 5 2024 walikomba pointi tatu mazima. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-1 Yanga na bao la ushindi likifungwa…

Read More

LIVERPOOL WAFUFUA MATUMAINI YAO YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND

Liverpool wamefufua matumaini yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 4-2 Tottenham ⚽ Salah 16’ ⚽ Robertson 45’ ⚽ Gakpo 50’ ⚽ Elliott 59’ ⚽ Richarlison 72’ ⚽ Heung-Min 77’ MSIMAMO 🔝3️⃣ EPL 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 🥇 Arsenal— mechi 36— pointi…

Read More