
SIMBA BADO KUNA TATIZO LA ULINZI LIFANYIWE KAZI
SAFU ya ulinzi ya Simba inayoongozwa na Che Malone bado ni tatizo kutokana na kufanya makosa ya mara kwa mara katika eneo la 18 jambo ambalo litawagharimu wasipolifanyia kazi. Kumbuka kwamba katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara wakitumia dakika 180 safu ya Simba haikufungwa lakini walikutana na timu ambazo hazikufanya mashambulizi mara nyingi zaidi…