
GAMONDI ATUMA UJUMBE MZITO SIMBA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake akibainisha kwamba hawana hofu kuwakabili wapinzani hao uwanjani. Ipo wazi kuwa Agosti 8 2024 inatarajiwa kuchezwa Kariakoo Dabi katika Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali, fainali inatarajiwa…