
ANA BALAA HUYO NYOTA MPYA WA SIMBA CHEKI MATIZI YAKE
NDANI ya kikosi cha Simba kilichokweka kambi nchini Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25 kuna nyota wengi wapya kwa ajili ya kutimiza majukumu 2024/25 na miongoni mwao ni nyota hao ni pamoja na Valentino Mashaka