
HUYU MSHAMBULIAJI WA KAZI KWENYE RADA ZA SIMBA
WAKATI maboresho ndani ya kikosi cha Simba yakiendelea inatajwa kwamba kuna hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa KMC, Wazir Junior ambaye ni kinara kwa wakali wakutupia eneo la ushambuliaji. Ikumbukwe kwamba Wazir ndani ya KMC ni mabao 12 alitupia na katika hayo mawili aliwafunga Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex langoni alianza…