Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ametangaza wajumbe sita ambao atafanya nao kazi upande wa muwekezaji .
Hili limekuja siku chache baada ya Try Again kujiuzulu na wajumbe wengine kujiuzulu nafasi zao kwenye bodi hiyo
1.Cresentius Magori
2.Hussein Kita
3.Salim Abdallah Tryagain
4.Mohammed Nassoro
5.Zulfikar Chandu
6.Rashidi Shangazi