
TAMKO LA SIMBA ISHU YA KIBU DENNIS
WAKATI tetesi zikieleza kuwa Kibu Dennis kagomea kuongeza dili jipya ndani ya timu hiyo akiwa na ofa zaidi ya tatu mezani kimtindo uongozi wa Simba umejibu hoja hiyo. Ipo wazi kwamba Kibu ni chaguo la kwanza la makocha wote ambao wamepita Simba ikiwa ni Robert Oliveira, Abdelhakh Benchikha na sasa Juma Mgunda. Kibu anatajwa kuwa…