Nani ni Nani Leo Usiku wa Ulaya?
Leo hii viwanja viwili vitawaka moto kwenye michuano ya Ligi za mabingwa barani Ulaya [UEFA] ikiwa ni mechi za marudiano na maamuzi nani aende Nusu Fainali na nani abaki. Tengeneza jamvi lako la maana hapa maan leo ndiyo leo asemaye kesho muongo. Barcelona ataumana dhidi ya PSG ambapo mechi ya kwanza Xavi aliondoka na ushindi…