TAIFA STARS YAPETA KIMATAIFA
HATIMAYE timu ya taifa ya Tanzania imepeta kimataifa kwa kupata ushindi kwenye mchezo wake wa pili ikiwa ugenini. Ikumbukwe kwamba katika LS
HATIMAYE timu ya taifa ya Tanzania imepeta kimataifa kwa kupata ushindi kwenye mchezo wake wa pili ikiwa ugenini. Ikumbukwe kwamba katika LS
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ni siku ya simu kuita kwa kuwa mchezo utakuwa kwenye miguu ya Mudathir Yahya. Yahya chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekuwa kwenye mwendelezo bora katika mechi za Ligi Kuu Bara ambapo mtindo wake wakushangilia pale…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo kitaifa na Kimataifa Bongo, Saleh Ally, (Jembe) ameweka wazi kuwa kuna mahali haipo sawa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundonws baada ya mabosi Yanga kubainisha kuwa mzunguko itakuwa ni bure.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Machi 30 2024 Uwanja wa…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hesabu kubwa ni kupata matokeo chanya kwenye mchezo huo dhidi ya Waarabu wa Misri huku mtego mkubwa ikiwa ni kubadilika kulingana na namna wapinzani wao watakavyokuja katika mchezo husika
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns hawana hofu kwa kuwa wanaamini kwenye ubora walionao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa tatu usiku kwa kila timu kupambana kupata ushindi kuongeza nguvu kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo…
Fikiria ni biashara gani inaweza kukupa faida kubwa kushinda mtaji uliotumia? Ni mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaitwa Super Heli unakufanya kuwa tajiri kwa dau la kuanzia 100/= TZS linalotoa ushindi mkubwa wa mamilioni na zwadi kibao kama TV flat screen, Simujanja, na Bonasi za kasino kibao. Jisajili Meridianbet uwe sehemu ya washindi wa…
KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Machi 29 2024 Uwanja wa Mkapa Legend Saleh Ally ameweka wazi kuwa Simba wanapaswa kuwa makini kuelekea mchezo huo wasiwachukulie pia wapinzani wao kwa kuwa Al Ahly ni moja ya timu imara ambazo zinajua namna ya kufanya kwenye hatua…
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kufanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 30 2024. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuhusu kuelekea kwenye mchezo huo.
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman, (Morocco) ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo unaotarajiwa kuchezwa leo Machi 25 2024 hivyo hawatakuwa tayari kupoteza kwa mara nyingine tena. Stars itakuwa na kibarua kwenye mchezo wa FIFA Series dhidi ya Mongolia ukiwa ni mchezo wa pili baada ya ule wa awali…