MERIDIANBET YATOA MSAADA ZAHANATI MWENGE

Kampuni ya Meridianbet awamu hii wamefika mwenge jijini Dar-es-salaam katika Zahanati ya Mlalakua na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka katika Zahanati hiyo. Kurudisha kwenye jamii yake iliyowazunguka ni kawaida kwa Meridianbet na leo wamegeukia moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Mwenge inayofahamika kama Mlalakuwa wakitoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka…

Read More

WAZIR JUNIOR ANA BALAA HUYO MABAO 50

MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi.  Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…

Read More

AZIZ KI ANAZIPA TABU NYAVU BONGO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Aziz KI kasi yake ya kucheka na nyavu imezidi kuwa bora akizipa tabbu nyavu kwenye mechi ambazo anacheza ndani ya uwanja msimu wa 2023/24. Tayari amefunga mabao 13 akiwa namba moja kwa wakali wenye mabao mengi ndani ya ligi anafuatiwa na Feisal Salum wa Azam FC huyu katupia mabao 12 kibindoni….

Read More

LIGI KUU BARA KIVUMBI LEO

MACHI 16 Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea ambapo kutakuwa na dakika 90 za jasho kwa wanaume kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Saa 10:00 jioni, Singida Fountain Gate watakuwa Uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Namungo FC Singida Fountain Gate na Namungo wanakutana ikiwa wote wametoka kupoteza michezo yao iliyopita. Namungo Machi 8 mchezo wake wa…

Read More