MRITHI WA MIKOBA YA BALEKE ANA BALAA HUYO

MRITHI wa mikoba ya mshambuliaji, Jean Baleke ambaye anaondoka akiwa namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa katupia mabao 8, Michael Fred ana balaa kutokana na rekodi zake. Ni Michael Fred raia wa Ivory Coast anatajwa kubeba mikoba ya Baleke ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2023/24 kwenye mechi zilizobaki…

Read More

MKALI WA KUCHEKA NA NYAVU HUYU HAPA AFCON

KAZI kubwa inaendelea kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2023 kutokana na kilatimu kuonyesha ushindani mkubwa uwanjani. Ipo wazi kwamba wenyeji Ivory Coast mwendo wameumaliza huku mashabiki wakiwa na hasira kutokana na timu hiyo kushindwa kuwa kwenye ubora ambao walikuwa wakiutarajia mwisho wa sio misha lazima yaendelee. Kuna nyota kibao waliopo ndani ya…

Read More

IVORY COAST NI DARASA TUJIFUNZE

KAMA ungekuwa hapa Abidjan ungeweza kunielewa, hakika ni zaidi ya msiba. Nilifika hapa kutokea San Pedro kwa nia ya kuwaona wenyeji lakini wametolewa. Wakati tukiingia Abidjan, bendera na jezi za wenyeji zilitamba kila sehemu na ilionekana kupoteza haikuwasumbua au kuwakatisha tamaa. Wamepoteza kwa mabao manne na kutolewa, hakika ni zaidi ya MSIBA na ukiwaona walivyo…

Read More

AMEPEWA MECHI MBILI NYOTA MPYA YANGA

IKIWA ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Yanga,mshambuliaji Joseph amepewa mechi mbili na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kwa leng la kuimarisha uwezo wake pamoja na kuongeza muunganiko pamoja na wachezaji wengine ndani ya kikosi hicho ambacho kinapambana kutetea taji lake la ligi. Ipo wazi kwamba msimu wa 2022/23 ni Yanga ilitwaa ubingwa na msimu…

Read More

IHEFU WAPO KAMILI GADO

KUTOKA Mbeya ulipo Uwanja wa Sokoine kwa majirani zao Mbeya City na Tanzania Prisons amba hutumia kwa mechi za nyumbani wao wapo Mbarali ambapo hutumia Uwanja wa Highland Estate kwa mechi za nyumbani. Hawa ni Ihefu wapo kamili gado kuelekea mechi zijazo za ushindani ili kupata matokeo mazuri kutokana na kutokuwa na mwendo mzuri kabla…

Read More

KHALID AUCHO AMEONGEZEWA DOZI YANGA

KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Khalid Aucho ameongezewa dozi na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ikiwa ni malengo ya kumuongezea uimara wake sambamba na mshambuliaji, Clement Mzize. Gamondi anaendelea kuwapa mbinu wachezaji wa Yanga kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa baada ya kupishana na Kombe la Mapinduzi 2024, huku nyota wengine…

Read More