
DR CONGO NGOMA NZITO MBELE YA MOROCCO
TIMU ya taifa DR Congo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kombe la Mataifa Afrika, Januari 21. DR Congo ina wachezaji wawili wanaoitambua Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele aliyewahi kucheza Yanga na Henock Inonga anayekipiga Simba. Morroco walipachika bao kupitia kwa Achraf Hakim mapema kabisa…