MAKOCHA SIMBA YANGA WALIPANA KWA VITENDO

ROBERTO Oliveira raia wa Brazil ambaye anainoa Simba na Nasreddine Nabi raia wa Tunisia ambaye anainoa Yanga wamelipana kwa vitendo ndani ya dakika 90 kwenye mechi tofauti. Ni Oliveira alianza kukiongoza kikosi chake Mei 12 ubao wa Uwanja wa Azam Complex uliposoma Simba 3-0 Ruvu Shooting nyota wake alibadilisha usomaji wa matokeo na kuwa ‘super…

Read More

BRIGHTON WAWAPIGA WASHIKA BUNDUKI

BRIGHTON hawana kazi ndogo palepale wakiwa ugenini wamemtungua Arsenal na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya washika bunduki. Ni Julio Enciso dakika ya 51, Deniz Undav dakika ya 86 na Pervis Estupinan dakika ya 90+6 alitupia kambani. Ilikuwa Uwanja wa Emirates wakati kazi hiyo ikipigwa ñdani ya dakika 90. Arsenal inabakiwa na pointi 81…

Read More

ISHU YA DUBE KUIBUKIA SIMBA IPO HIVI

UONGOZI wa Azam FC Umesema hautakubali kufanya makosa ya kuwaachia mastaa muhimu waondoke bure baada ya mikataba yao kumalizika wakikumbuka ya msimu wa mwaka 2017. Kwenye ligi Azam FC ipo nafasi ya tatu na ina pointi 53 vinara ni Yanga wenye pointi 74 na tayari wametangazwa kuwa mabingwa wa msimu wa 2022/23. Azam katika msimu…

Read More

SAKHO NA NYAVU NDANI YA LIGI KUU BARA

PAPE Sakho ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao 9 msimu wa 2022/23 aligotea kwenye mabao hayo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 akiwa ametoa pasi mbili za mabao msimu wa 2022/23. Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa kiungo huyo…

Read More

YANGA BINGWA TENA

BAADA ya kupata ushindi leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara rasmi Yanga wanakuwa ni mabingwa wa NBC Premier League. Unakuwa ni ubingwa wa 29 tangu kuanzishwa kwake ikiwa ni historia kubwa na nzuri kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga wamefikisha pointi 74 ambazo hamna timu yeyote inaweza kufikisha ni baada…

Read More

KOCHA JULIO KAANZA MIKWARA

KOCHA Mkuu wa KMC, Jamhuri Kihwelo, ‘Julio’ ameanza mikwara kwa kubainisha kuwa kinachotazamwa kwenye ligi ni namna ya kumaliza. Mbele ya Singida Big Stars inayonolewa na Hans Pluijm ilisepa na pointi tatu mazima. Ikumbukwe kwamba mchezo wake wa pili kukaa benchi akiwa na KMC baada ya kubeba mikoba ya Thiery Hitimana  amesepa na pointi tatu….

Read More

ISHU YA CHAMA KUONDOKA SIMBA IPO HIVI

WAKATI taarifa zikizagaa kuwa mwamba wa Lusaka, kiungo wa Simba Clatous Chama ameomba kuondoka hofu imeondolewa na uongozi wa timu hiyo. Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya pili na pointi zao ni 67 na vinara ni Yanga wenye pointi 71. Yanga imecheza mechi 27 na Simba imecheza mechi 28 msimu wa 2022/23. Taarifa zilikuwa zinaeleza…

Read More

HAPA NDIPO ANGUKO LA SIMBA LILIPOANZIA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa makosa makubwa ambayo yamefanya anguko kwenye timu hiyo hajaanza leo bali miaka miwili nyuma. Msimu huu Simba imepoteza matumaini ya kutwaa taji la ligi linalotetewa na Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 71. Leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Ruvu Shooting mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa…

Read More

RUVU SHOOTING YAMUOMBA MUNGU KWENYE MAPITO YAO

UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa kwenye mapito magumu wanayopitia njia itaonekana. Timu hiyo leo inatarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Simba Uwanja wa Azam Complex kusaka pointi tatu. Ikumbukwe kwamba vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 71 kibindoni baada ya kucheza mechi 27 msimu wa 2022/23.  Ofisa Habari wa Ruvu Shooting,…

Read More

LIGI KUU BARA KINAWAKA LEO

LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo Mei 12 ikiwa ni mzunguko wa pili. KMC chini ya Jamhuri Kihwelo ‘Julio” itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Singida Big Stars. Ni Uwanja wa Uhuru ngoma inatarajiwa kupigwa ambapo KMC itawakaribisha Singida Big Stars saa 10:00 jioni. KMC inapambana kubaki ndani ya ligi ikiwa imecheza…

Read More