SKUDU AFUNGUKIA JAMBO LAKE NA GAMONDI
SKUDU Makudubela nyota wa Yanga ameweka wazi kuwa hana tatizo lolote na benchi la ufundi la timu hiyo linalonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Nyota huyo ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea Marumo Gallants hajawa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na ushindani wa namba uliopo ndani ya timu hiyo. Mbali na ushindani…