
USAJILI WA YANGA KUITIKISA NCHI, ALLY KAMWE ATAMBA
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe, amefunguka kwamba, kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15, mwaka huu, watatikisa nchi kwa usajili mkubwa watakaofanya. Usajili wa dirisha dogo ulifunguliwa Desemba 16, 2022 na unatarajiwa kufungwa Januari 15, 2023, huku Yanga ikiwa tayari imemsajili kiungo, Mudathir Yahya. Akizungumza na Spoti Xtra, Kamwe alifunguka kuwa: “Kwa…