SIMBA WAREJEA KUAANZA NA MBEYA CITY KWA MKAPA

“TUMEREJEA kutoka kambi ambayo imekuwa na manufaa makubwa na kazi inaendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,” maneno ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba, Ahmed Ally. Leo Januari 17,2023 kikosi hicho kimerejea kutoka Dubai ambapo kiliweka kambi kwa muda chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera…

Read More

SIKU MBAYA KAZINI KWA IHEFU

SIKU mbaya kazini kwa mastaa wote wa Ihefu pamoja na benchi la ufundi baada ya mbinu zao zote kufeli mbele ya Yanga ndani ya dakika 90. Benchi la ufundi likiwa limewaanzisha washambuliaji wake Obrey Chirwa na Adam Adam ambaye ni ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar walishuhudia dakika 90 zikayeyuka bila shuti lililolenga lango. Kipa Diarra…

Read More

MUDHATHIR MCHEZO WAKE WA KWANZA KATEMBEZA MIKATO

ALIWATEMBEZEA mikato Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Januari 16,2023 mpaka mwamuzi akaonekana kumwambia hili ni onyo la mwisho ukizingua adhabu inakuhusu. Ni Mudhathir Yahya kwenye kiwango kizuri dhidi ya Ihefu ambao walikuwa wanajilinda muda wote na mwisho wakapoteza kwa kufungwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele. Kiungo huyo mkabaji alikuwa akicheza kwa…

Read More

UBORA WA WACHEZAJI WAIPONZA TANZANIA PRISONS

“TATIZO ni ubora wa wachezaji kwa wapinzani wetu jambo ambalo limetugharimu, ” maneno ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Azam FC 3-0 Prisons. Mchezo huo wa ligi ulitawaliwa na tambo za kutosha kwa pande zote mbili zikiweka wazi kwamba ni pointi tatu wanahitaji na…

Read More

USIKU WA KISASI YANGA YAWATUNGUA IHEFU

UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ihefu watajilaumu wenyewe kwa kutunguliwa kwenye mchezo wa leo kutokana na makosa ambayo wameyafanya kipindi cha pili. Shukrani kwa Fiston Mayele ambaye alipachika bao pekee la ushindi dakika ya 63 akitumia makosa ya kipa wa Ihefu Fikirini Bakari kwenye…

Read More

USIKU WA KISASI, YANGA 0-0 IHEFU

DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika ambapo ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Ihefu. Mbinu za Ihefu FC kwenye dakika 45 zakujilinda zimefanikiwa huku kwenye upande wa ushambuliaji wakiwa na tatizo. Dakika 45 rekodi zinaonyesha kwamba hakuna shuti ambalo limelenga lango licha ya Obrey Chirwa na Adam Adam kuwa kwenye eneo la ushambuliaji. Yanga…

Read More

JESHI LA YANGA V IHEFU HILI HAPA, MUSONDA BENCHI MUDA NDANI

KIKOSI cha Yanga kitakachoikabili Ihefu, Uwanja wa Mkapa, ingizo jipya Mudhathir Yahya ameanza kikosi cha kwanza huku Musonda akiwa benchi. Hiki hapa kikosi chenyewe:- DJIGUI Diarra Djuma Shaban Kibwana Shomary Job Mwamnyeto Mudhathir Yahya Sure Boy Jesus Moloko Fiston Mayele Farid Mussa Tuisila Kisinda Akiba Johola Bryson Lomalisa Bacca Ngushi Ambundo Mzize Musonda

Read More

KISASI NA MAPIGO HURU UWANJA WA MKAPA

KARIBU kwenye mapigo ya ligi ambayo yanaendelea ikiwa ni mwaka 2023, Uwanja wa Mkapa utakuwa na kazi ndani ya dakika 90 kwa wababe kusaka pointi tatu. Ni Yanga dhidi ya Ihefu mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa kutokana na Ihefu kuwa watibuaji wa mipango ya Yanga. Hapa tunakuletea baadhi ya mambo yatakayonogesha mchezo huo namna hii:-…

Read More

JEMBE LINGINE LATAMBULISHWA MSIMBAZI

NI Mohammed Mussa amesajini dili la miaka mitatu kuitumikia Klabu ya Simba. Nyota huyo ametambulishwa rasmi Januari 16, 2023 baada ya kukamilisha usajili wake katika timu hiyo. Alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Malindi na sasa yupo ndani ya Simba. Ujumbe mfupi ambao wameuachia Simba wakimtabulisha wamesema Mohamed Muss ni mnyama.

Read More

DAKIKA 180 MBRAZIL ASHUHUDIA MABAO MAWILI YA MZAWA

KIKOSI cha Simba kikiwa nchini Dubai kilicheza mchezo wake wa pili wa kirafiki   na kuambulia sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya CSKA Moscow nchini Dubai. Ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera Simba iliyeyusha dakika 45 ikiwa imefungwa mabao mawili na wapinzani wao katika mchezo huo. Kipindi cha pili Simba walionyesha uimara kwenye upande…

Read More

SUALA LA KUSHUKA DARAJA LIPO, MUHIMU KUJIPANGA

KAZI kubwa kwa sasa kwa timu zote ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara, Championship na Ligi ya Wanawake ni kusaka ushindi. Ipo wazi baada ya mapumziko ya muda kutokana na ratiba mbalimbali tayari mambo yanaanza kurejea taratibu. Tunaona wale ambao walikuwa kwenye Kombe l Mapinduzi wamerejea na waliokuwa wakifuatilia wameshuhudia bingwa mpya. Hongera kwa Mlandege kwa…

Read More